Social Media

Ads

Social Media

Sunday, 12 April 2020

TANZANIA SCHOOL OF BIBLICAL STUDIES


>Ni shule ya kujifunza biblia iliyopo mkoa SONGWE, Tunduma Songwe Km 80 kutoka Tunduma kama unaelekea Sumbawanga kijiji cha Mpui.
>Wanapokea watu wote, dini zote na jinsia zote watakaohitaji kujifunza wenye elimu kuanzia darasa la saba na wawe wenye umri kuanzia miaka 18 kuendelea.
>Kozi inadumu kwa miaka 2, siku na muda wa kusoma ni jumatatu, jumanne, alhamisi na ijumaa; saa saba mchana hadi saa kumi jioni.
>Masomo yataanza 2020 na hakuna malipo.
>Kwa mawasiliano zaidi wapigie kwa namba 0766 777 187
>KARIBUNI

HALI NA TABIA ZA MUNGU.


Neno "MUNGU" katika kiswahili lina maana ya "MUUMBAJI"; yaani muumbaji wa kila kinachoonekana na kisichoonekana, mbingu na nchi.
>Mungu ni UPENDO
*1 Yohana 4:7 Wapenzi, na mpendane; kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu, na kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.
8 Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo.
9 Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye.
(Yoh 3:16, Gal 2:20, Rum 5:7-8)
>Mungu ni MTAKATIFU
*Neno takatifu maana yake ni kitu, mtu au jambo lililo'tengwa'. Mungu ni mtakatifu kwa sababu;
Amejitenga na miungu ya uongo(sanamu), yeye ni Mungu pekee.(Isaya 1:4, 45:11,5,22)
Na pia kwa sababu amejitenga na dhambi.(Hab 1:12-13, 1 Yoh 1:5, Isa 59:1-2, Mk 10:18)
>Mungu ni BABA WA REHEMA na NEEMA
*Ni mambo mema na ya huruma apatayo mwanadamu kutoka kwa Mungu; mfano wokovu wa bure kwa kila aaminiye.(1 Kor 1:3, Zab 136:1-26, Efe 2:4)
>Mungu ana HASIRA na GHADHABU
*Ni kweli Mungu ni upendo pamoja rehema; walakini kwa watu waovu wasiotaka kutubu, yeye ni mwenye hasira.(Rum11:22, 2:4-11, Isaya 13:9-11, Ebr 10:28-31)
>Mungu yupo kila Mahali
Zab 139:7-12, 23:4, Yer 23:23-24, Mith 15:3
Je! Unafahamu hali na tabia nyingine za Mungu? Karibu tushirikishe!

Saturday, 11 April 2020

UZINDUZI WA STUDIO YA TUIJUE KWELI

UZINDUZI WA STUDIO YA TUIJUE KWELI, 90% kukamilika. Matukio katika picha.



MBEYA BIBLE SCHOOL


>Ni shule ya kujifunza biblia iliyopo jijini Mbeya, Forest ya zamani, kituo cha daladala 'Esso', barabara ya kuelekea Mbozi.
>Wanapokea watu wote, dini zote na jinsia zote watakaohitaji kujifunza wenye elimu kuanzia darasa la saba na wawe wenye umri kuanzia miaka 15 kuendelea.
>Kozi inadumu kwa miaka 2, siku na muda wa kusoma ni jumatatu, jumanne, alhamisi na ijumaa, masaa mawili kwa siku: saa kumi hadi saa kumi na mbili jioni.
>Masomo yataanza tar. 20/1/2020 na hakuna malipo.
>Kwa mawasiliano zaidi wapigie kwa namba 0787 339403
>KARIBUNI

SHULE YA BIBLIA MINDU


>Ni shule ya kujifunza biblia iliyopo Morogoro, Mindu mbwawani barabara ya Iringa, kata ya Mindu, mtaa wamadanganya, wilaya ya Morogoro.

>Wanapokea watu wote, dini zote na jinsia zote watakaohitaji kujifunza wenye elimu kuanzia darasa la saba na wawe wenye umri kuanzia miaka 18 kuendelea.

>Kozi inadumu kwa miaka 2, siku na muda wa kusoma ni jumatatu, jumanne, alhamisi na ijumaa; saa saba mchana hadi saa kumi jioni.

>Masomo yataanza tar. 05/02/2020 na hakuna malipo.

>Kwa mawasiliano zaidi wapigie kwa namba 0679 153 122/0758 310 304

>KARIBUNI

ARUSHA BIBLE SCHOOL


>Ni shule ya kujifunza biblia iliyopo Arusha, barabara ya kuelekea shule ya sekondari ilboru, mita 200 kutoka barabara ya moshi-arusha.
>Wanapokea watu wote, dini zote na jinsia zote watakaohitaji kujifunza wenye elimu kuanzia darasa la saba na wawe wenye umri kuanzia miaka 18 kuendelea.
>Kozi inadumu kwa miaka 2, siku na muda wa kusoma ni jumatatu, jumanne, alhamisi na ijumaa; saa kumi hadi saa kumi na mbili jioni.
>Masomo yataanza tar. 20/01/2020 na hakuna malipo.
>Kwa mawasiliano zaidi wapigie kwa namba 0787 339 403
>KARIBUNI

KILIMANJARO BIBLE SCHOOL

KILIMANJARO BIBLE SCHOOL
>Ni shule ya kujifunza biblia iliyopo Moshi, Soweto mkabala na kituo kidogo cha polisi.
>Wanapokea watu wote, dini zote na jinsia zote watakaohitaji kujifunza wenye elimu kuanzia darasa la saba na wawe wenye umri kuanzia miaka 18 kuendelea.
>Siku na muda wa kusoma ni alhamisi, jumamosi na jumapili; saa tisa hadi saa kumi na mbili jioni.
>Kujiunga na shule ni wakati wowote katika mwaka
>Kwa mawasiliano zaidi wapigie kwa namba 0767 637 259
>KARIBUNI!
LT
Copyright © All Rights Reserved ™

Designed by: Templatezy / Sb Game Hacker